DKT. MAGUFULI AZINDUA BODI YA MFUKO WA BARABARA NA BODI YA WAKALA WA BARABARA JIJINI DAR LEO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea wakati akizindua Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) leo jijini dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akimpa zawadi Mjumbe wa Bodi ya mfuko wa Barabara aliemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za Bodi Mhandisi Omar Chambo (kushoto).
Katibu Mkuu wa Uchukuzi na Mjumbe wa Bodi yaMfuko wa Barabara aliemaliza muda wake Mhandisi Omar Chambo akishukuru.
Mwenyekiti wa Bodi ya ya Mfuko wa Barabara Dr. James Wanyancha akitoa hotoba yake wakati wa uzinduzi.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hizo leo jijini Dar es salaam
Picha ya pamoja na Bodi ya Mfuko wa Barabara inayoongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. James Wanyancha walioka (mbele kutoka kushoto).
Picha ya pamoja na Bodi ya Wakala wa Barabra (TANRROADS) (chinin ya Mwenyekiti Hawa Mmanga ( waliokaa kushoto).
 
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments

Powered by Blogger.