Jamaa
ambae jina lake halikuweza kupatikana alisukumwa na trafiki waendesha
pipipiki na jamaa huyo nae alikuwa anaendesha pikipiki ilikuwa kama
sinema kwani jamaa baada ya kuangushwa trafiki hao mmoja alikuja
kumuangalia alipomuona jamaa analalamika kwa maumivu akaamua kutimka
Kidogo
askari huyu apate kichapo kwa wananchi wenye hasira kali paada ya kuona
kuwa wanausalama hao wa barabarani ndiyo waliosababisha ajali hiyo
kiuzembe
Jamaa huyo anaondoka kama yupo vile yaani nikituko hicho hawakurudi tena eneo la tukio
Jamaa anasaidiwa na wasamaria wema kumpeleka hospitali
CHANZO: MBEYA YETU











No comments:
Post a Comment