HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MGOGORO KATI YA WAKAZI WA KATA YA BUNJU NA WAZO NA KIWANDA CHA SARUJI CHA TWIGA WATATULIWA NA WAZIRI WA ARDHI PROF. ANNA TIBAIJUKA

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akiwasalimia wakazi wa kata ya Bunju na Wazo
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akiongea katika mkutano wa hadhara
 Diwani wa eneo la Bunju na Wazo Sharif Exavery Majisafi akiongea na wananchi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka kuzungumza nao.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akipitia baadhi ya nakala za ramani zinazoonyesha eneo la Kata ya Bunju na Wazo pamoja na Kiwanda cha Saruji cha Twiga ambazo ziligawiwa kwa wananchi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Silasi Mayunga.
 Sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa kata za Bunju na Wazo wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka.
 Sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa kata za Bunju na Wazo
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka (kulia) akiongea na Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda cha Saruji cha Twiga (Twiga Cement) Bw.Pascal Lessoinne (kushoto)
Picha zote na Aron Msigwa – MAELEZO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: