Bondia,Mike Tyson
NEW YORK, Marekani
BINGWA wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Mike Tyson anadaiwa kubadilisha jinsia kutoka kuwa hali ya kiume na kuwa kike.
BINGWA wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Mike Tyson anadaiwa kubadilisha jinsia kutoka kuwa hali ya kiume na kuwa kike.
Habari za kufanyiwa upasuaji huyo kwenye hospitali
moja mjini, Beverley Hills, Marekani ziliteka mitandao kadhaa ya
kijamii, huku pia gazeti la The Standard likiwa na habari hiyo.
Hata hivyo, habari hizo hazijathibitishwa ramsi ingawa mpaka jana jioni mitandano mingi ya kijamii ilikuwa na taarifa hizo.
Hata hivyo, habari hizo hazijathibitishwa ramsi ingawa mpaka jana jioni mitandano mingi ya kijamii ilikuwa na taarifa hizo.
Bingwa huyo wa zamani aliyejitaja kama ëMwanaume
mbaya dunianiĂ, mzaliwa wa Brooklyn, aliwaambia waandishi wa habari kuwa
siku kwanza atakayopata hedhi (kuona siku zake) ndiyo itakuwa kamilisho
la ndoto yake.
Lakipi pia katika kuhakikisha anakamilisha dhamira
yake ya kuwa mwanamke, amesema kuanzia muda huo jina lake ramsi sasa
litakuwa Michelle.
Baadhi ya watu wanaweza kudhani mimi ni mtu wa
ajabu kwa sababu sasa ni mwanamke," alisema bingwa huyo wa zamani wa
ndondi aliyewahu kuhukumiwa kwa shitaka la kubaka.
Upasuaji wa kubadilisha jinsia ya Tyson ulichukua takribani masaa 16, akibadilishwa sura, rangi na mambo mengine ya kumfanya avutie kama mwanamke.
Upasuaji wa kubadilisha jinsia ya Tyson ulichukua takribani masaa 16, akibadilishwa sura, rangi na mambo mengine ya kumfanya avutie kama mwanamke.
Pamoja na ubabe wangu ulionifanya kuwa mpiganaji
mzuri, sikuwahi kupoteza hali yangu ya uanamke na nilijua ipo siku moja
matiti yataota na pia nitakuwa na sehemu za siri za mwanamke.
Tyson, maarufu kama 'Iron Mike au Iron Maiden',
aliyewahi kumng'ata meno bondia, Evander Holyfield walipodundana mwaka
1996, alipandikizwa homoni za kike zitakazomfanya kuwa na tabia za
jinsia hiyo.
Tyson, akiwa amevalia wigi, suruali aina jeans
yenye nyeusi na fulana ya rangi ya Bluu na kuonekana mwenye furaha,
alisema kubadilishwa kwake viungo na kuwekwa vya kike, kunathibitisha
mwisho wa tabia yake mbaya.
Pamoja na watangazaji wa ndondi kushangazwa na
hatua hiyo ya Tyson, lakini wengi wamekubali kwamba kuna mabadiliko ya
kitabia yameonekana. "Amabadilisha kimavazi, mwonekano na kizuri zaidi
amekuwa mpole," taarifa zilidai.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa
mbalimbali za uzushi zikiwahusu watu maarufu, ambapo katika ya mwaka huu
msanii Eddie Murphie alidaiwa kufa katika ajali ya boti ya kuteleza
kwenye barafu.
Msanii mwingine aliyehushishwa na uzushi huo ni
Will Smith ambaye naye alikumbwa na kadhia ya kudaia kufa. Wote wako hai
mpaka sasa.
MWANANCHI
MWANANCHI



No comments:
Post a Comment