HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MSHINDI WA MAISHA PLUS SEASON 3, BERNICK KIMIRO AKABIDHIWA ZAWADI YAKE

Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu,Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Shindano la Maisha Plus Seasons 3,Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick Kimiro akifungua akaunti katika Benki ya NMB huku kaka yake  Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo  wakifuatilia kwa makini la ujazaji fomu.
Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: