Mtendaji
wa Tume ya Mipango Zanzibar BI. Amina Hamisi(Katikati) akiongea na
wanahabari kuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge mjini Zanzibar leo. Kulia ni Mratibu wa Mkurabita Bibi
Seraphia Mgembe,Kushoto ni Mkurugenzi wa Urasimishaji Kutoka Mkurabita
Bwana Stephen Rusibamanyika.
Mratibu
wa Mkurabita Bi Seraphia Mgembe akiongea na Wahariri wa vyombo
mbalimbali vya Habari nchini kuhuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimasli
na Biasharaq za Wanyonge Tanzania.shughuli hiyo imefanyika
Zanzibar.
(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
No comments:
Post a Comment