HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATOTO WAJIACHIA KWA MICHEZO MBALIMBALI NDANI YA DAR LIVE KUSHEREKEA X-MAS

  
  
  
 

Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live , kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga  Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz  na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo..

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: