WATU WATATU WAGONGWA NA GARI MKOANI MBEYA MUDA HUU

  

 Ajali mbaya imetokea eneo la ILEMI Jijini MBEYA muda huu ambapo gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa. 

SAMAHANI KWA PICHA HII CHINI NIMELAZIMIKA KUIWEKA ILI UPATE HALI HALISI YA KILICHOTOKEA.
 Mwenyezi Mungu ambariki ili aweze kupona.
Gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa.

No comments

Powered by Blogger.