HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KUTOKA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM MPAKA MAKAO MAKUU YA CHADEMA BAADA YA GODBLESS LEMA KUSHINDA KESI YAKE


 Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa
 Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.


 Umati wa wanachama wakiwa makao makuu
Lema akiongea na viongozi wa chadema.Lwakatare (Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa taifa) na John Mrema (Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri)
 
Picha Kwa Hisani ya Mjengwa Blog 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: