MSAMA AUCTIONMART & DEBTS COLLECTOR INAHITAJI VIJANA WENYE SIFA ZIFUATAZO KUJAZA NAFASI ZILIZOWAZI:-
MENEJA (1)
SIFA:
- ELIMU KIDATO CHA SITA NA KUENDELEA
- UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 2 KATIKA SHUGHULI ZA UDALALI NA MINADA
- UZOEFU KATIKA MASUALA YA UKUSANYAJI MADENI SUGU KUTOKA TAASISI, MABENKI, MAKAMPUNI NA WATU BINAFSI
- UMRI USIOZIDI MIAKA 50
MAAFISA UDALALI NA UKUSANYAJI MADENI (5)
SIFA:
- ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
- UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 2
- AWE MWAMINIFU NA MCHAPAKAZI
- UMRI KUANZIA MIAKA 25 NAKUENDELEA.
MSAMA AUCTIONMART & DEBTS COLLECTOR INAJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZIFUATAZO:-
1. KUPIGA MINADA NA KUUZA SAMANI
ZA MAJUMBANI NA MAOFISINI KAMA VILE MAGARI, PIKIPIKI, MAJENGO, MASHAMBA,
MAGHALA, VITI, MEZA, MAKABATI N.K.
2. KUDAI MADENI SUGU (YALIYOSHINDIKANA).
3. PIA KUTOA USHAURI KWA TAASISI
ZA UMMA NA BINAFSI, MASHIRIKA, MAKAMPUNI, WATU BINAFSI JINSI YA
KUFUATILIA MADENI SUGU (YALIYOSHINDIKANA).
4. KUTOA WAPANGAJI WASUMBUFU NDANI YA NYUMBA.
5. KUTOA ULINZI KATIKA MATAMASHA, MIKUTANO, SHEREHE MBALIMBALI NK.
6. KUKUSANYA USHURU NA KODI MBALIMBALI KWA NIABA YA TAASISI MBALIMBALI.
7. KUSIMAMIA UTEKELEZAJI AMRI ZA
MAHAKAMA KWA KUWA KAMPUNI YETU IMESAJILIWA KISHERIA KAMA WAKALA WA
MAHAKAMA YAANI COURT BROKERS.
8. KUTOA USHAURI WA KISHERIA KUHUSU MASUALA MAZIMA YA USIMAMIZI WA MIRATHI.
9. KAMPUNI YETU KWAKUTUMIA
WATALAMU WALIOBOBEA NA WANAOZINGATIA WELEDI (PROFESSIONALISM) INAUWEZO
MKUBWA KUFANIKISHA KAZI KIDIPLOMASIA NA KUTUMIANGUVU KIDOGO PALE
INAPOBIDI TU ILI KUEPUSHA MADHARA YA KIUCHUMI NA KISHERIA KWA WATEJA
WETU.
10. KAMPUNI YETU KWA KUJALI NA
KUTHAMINI WATEJA WETU IMEJIPANGA KULIPA FIDIA KWA WATEJA WETU KWA HASARA
ITAKAYOSABABISHWA NA UZEMBE WETU IKITHIBITIKA HIVYO.
11. KAMPUNI INAVITENDEA KAZI VYA
KUTOSHA KAMA MAGARI, PIKIPIKI, OFISI KUBWA NA YA KISASA,ENEO
KUBWA(GODOWN) KWAAJILI YA KUHIFADHI MALI ZA AINA NA UKUBWA WOWOTE HUKU
LIKIZIACHA ZIKIWA SALAMA WAKATI WOTE.
KWA UTOAJI WA HUDUMA YA HARAKA NA
UHAKIKA ZAIDI FIKA SASA OFISINI KWETU KINONDONI BIAFRA-BLOCK41, MTAA WA
KUMBUKUMBU JIJINI DAR-ES-SALAAM AU WASILIANA KWA NAMBA 0222 669066,
0713 972615 au
tuma kwenda S.l.p. 105497
Barua pepe: msamaauctionmart@yahoo.com
Nukushi: 0222 667900
“TUTUMIE TUKUTUMIKIE”
No comments:
Post a Comment