
Haya ni baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta wa ubungo

Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijaribu kutoa magari yao baada ya kuangukiwa na ukuta





Hili ni tukio lilotokea asubuhi ya leo baada ya kukuta watu
wakilia na baadhi wakistaajabu kwa tukio la kushangaza.Hii
ilisababishwa na kuanguka kwa ukuta wa stand ya mabasi ubungo. Sababu za
kuanguka kwa ukuta huo hazikufahamika kwa haraka.
PISHA KWA HISANI YA KIBONGOBONGO BLOG
No comments:
Post a Comment