Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa la KKKT
nchini Dkt Alex Gehaz Malasusa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya
kati Dkt Alex Seif Mkumbo baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu
Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Wasaidizi wa Maaskofu wa Kanisa la KKKT baada ya sherehe
ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya mkoa wa Tabora toka
kwa Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa huo aliyosomewa mara baada ya kuwasili
kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.
PICHA NA IKULU




.jpg)
No comments:
Post a Comment