HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJALI MBAYA YATOKEA KIBAMBA DARAJANI: DEREVA AFARIKI BAADA YA LORI LA MBAO LADONDOKEA MTONI

Baadhi ya wakazi wa Kibamba Darajani wakishuhudia Lori lililopata ajali baada ya kudondokea mtoni na kusababisha kifo cha dereva wake. 
Eneo la ajali linavyoonekana kwa mbali.
Wananchi na Askari wa Usalama Barabarani wakiwa eneo la ajali kwa ajili ya kutoa msaada.

 Mwili wa dereva aliyefariki katika ajali hiyo ukiwa umekandamizwa na Lori lililobeba mbao hizo.
 Hiki ni kiatu kilichovaliwa na dereva. Hapa mguu wake ukiwa umekandamizwa na gari hilo.

Mwili wa dereva ukiwa umekandamizwa vibaya na lori baada ya ajali hiyo mbaya.
 Hivi ndivyo lori lililobeba mbao linavyoonekana baada ya kuanguka chini ya daraja la Kibamba.
 
Picha zote zimepigwa na Fredy Tony Njeje Blogs za Mikoa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: