Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akielezea jambo wakati
alipokuwa akikabidhi pikipiki moja kwa jeshi la polisi analoliongoza
aliyonunua kutokana na zawadi 1.5 mil aliyokabiziwa mwezi uliopita
wakati akaribishwa Mkoani hapo.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiendelea kuelezea jambo wakati wa alipokuwa akikabidhi pikipiki moja kwa jeshi la polisi analoliongoza
aliyonunua kutokana na zawadi 1.5 mil aliyokabiziwa mwezi uliopita
wakati akaribishwa Mkoani hapo.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa
Dodoma Elasto Mbwilo akielezea jambo wakati
alipokuwa akikabidhi pikipiki moja kwa jeshi la polisi analoliongoza
aliyonunua kutokana na zawadi 1.5 mil aliyokabiziwa mwezi uliopita
wakati akaribishwa Mkoani hapo.
Meneja wa Kanda wa Benki ya NBM Gabriel Ole Loibanguti akielezea jambo wakati
alipokuwa akikabidhi pikipiki moja kwa jeshi la polisi analoliongoza
aliyonunua kutokana na zawadi 1.5 mil aliyokabiziwa mwezi uliopita
wakati akaribishwa Mkoani hapo.
Kaimu mkuu wa Mkoa wa Dodoma Elasto Mbwilo akimkabidhi funguo za pikipiki Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime wakati wa makabidhiano ya pikipiki wa ajiri ya kuimarisha ulinzi Dodoma.
Kaimu mkuu wa Mkoa wa Dodoma Elasto Mbwilo akimsikiliza Kamanda wa
polisi mkoani humo mala baada ya kukabidhiwa funguo za pikipiki moja
aliyoitoa kwaajili ya jeshi la polisi.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa
Dodoma Elasto Mbwilo akielekezwa jinsi ya kuwasha pikipiki moja kati ya
tatu na Meneja wa Kanda wa Benki ya NBM Gabriel Ole Loibanguti, Pikipiki
hizo zilikabidhiwa kwa jishi la polisi mkoa wa Dodoma ili ziweze
kurahisisha usafiri
PICHA KWA HISANI YA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment