Mmoja wa askari
akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga mkono
ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha
hadharani mbele ya majengo ya
Hospitali ya Mkoa mjini hapa juzi usiku Februari 14.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya wa tatu kulia
akibubujikwa na machozi jana usiku baada ya
ya Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa ,
Peter Ngusa (kulia) akiwa ameushikilia
mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani mbele
ya majengo ya Hospitali ya Mkoa
mjini hapa , watatu kushoto ni Mganga Mkuu
wa Mkoa , Dk John Gurisha
Madaktari wakijitahidi kutafuta mishipa kwa ajili ya kuongeza damu.Picha na Mroki Mroki na Juddy Ngonyani
No comments:
Post a Comment