HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » JAMANI TUJIADHARI NA MITANDAO FEKI KAMA HUU ULIOTENGENEZWA KAMA UKURASA HUU WA NECTA NI FEKI


Huu mtandao ni feki na sio wa baraza la mitihani la Tanzania umetengenezwa ili kupotosha watu juu ya habari zinazotolewa na NECTA. Inasemekana kuwa Baraza la mitihani halina ukurasa wowote kwenye FACEBOOK kwaiyo habari zote zinazotolewa humu ni uhongo mtupu na hazina ukweli wowowe. Ukurasa huu una watu takribani elfu 11, 786 waliolike huo ukulasa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: