Huu ni ujumbe uliobebwa na mashabiki wa Nigeria wakati wa fainali ya kombe la Afika 2013 kwenye uwanja wa National Stadium huko Johannesburg Nigeria ilishinda na ubao wa matangazo ulisomeka (Nigeria 1 - 0 Burkina Faso)
Mohamed Koffi wa Burkina Faso akimkaba
Victor Moses wa Nigeria wakati wa fainali ya kombe la Afika 2013 kwenye uwanja wa National Stadium huko Johannesburg na ubao wa matangazo ulisomeka (Nigeria 1 - 0 Burkina Faso)
Bakary Kone wa Burkina Faso akimkaba Brown
Ideye wa Nigeria wakati wa fainali ya kombe la Afika 2013 kwenye uwanja wa National Stadium huko Johannesburg na ubao wa matangazo ulisomeka (Nigeria 1 - 0 Burkina Faso)
Sunday Mba wa Nigeria akishangilia goli wakati wa fainali ya kombe la Afika 2013 kwenye uwanja wa National Stadium huko Johannesburg
Victor Moses akiwaonesha mashabiki wa Nigeriakombe la Mataifa huru ya Afrika 2013
Wachezaji wa Nigeria wakiwa na furaha baada ya kuwa bingwa mpya wa kombe la Afrika 2013

Wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kombe na ubao wa matangazo ulisomeka (Nigeria 1 - 0 Burkina Faso)
Wachezaji wa Nigeria wakizunguka na kombe uwanjani waliposhinda na ubao wa matangazo ulisomeka (Nigeria 1 - 0 Burkina Faso)
No comments:
Post a Comment