Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Armando Emilio
Guebuza wa Msumbiji katika ikulu ya jijini Maputo leo. Rais Kikwete yupo
nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi
kusini mwa Afrika SADC
PICHA NA FREDY MARO



No comments:
Post a Comment