Hali ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si shwari baada ya wabunge wa CCM na Chadema kuvutana bungeni sasa .
Hivi sasa mwanasheri mkuu wa serikali ameingilia kati kwa kutoa japo uwezekano wa kuongea umekuwa mgumu baada ya wabunge wa Chadema kufanya vurugu kubwa kwa kuimba CCM! CCM!,CCM !!
Hadi sasa hali imeendelea kuwa tete katika ukumbi huo wa bunge baada ya wabunge kugomea hoja hiyo ya mbunge wa jimbo la Ubunge John Nyika na bunge kuhairishwa na bunge limevunjika hadi kesho asubuhi.

No comments:
Post a Comment