HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » GARI LAGONGA NGUZO YA UMEME KUTOKANA NA BARABARA KUWA MBOVU MKOANI IRINGA

  Gari  hili lenye namba  T 940 DJQ lililokuwa likiendeshwa na Gervas Sanga  limegongwa eneo la National mjini Iringa katika barabara ya Iringa -Dodoma chanzo ni mashimo yaliyopo eneo hilo ambayo yamesababishwa na usimamizi mbovu wa TANROADS mkoa  wa Iringa(Picha na Francis Godwin)
 
 
 Chanzo ni mashimo haya  ambayo Tanroads mkoa  wa Iringa  wanayatazama bila  kuchukua hatua  za kuziba  
 
  Katika ajali  hii hakuna aliyepoteza maisha
Gari likitolewa kwenye eneo la tikio

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: