RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHMU ADOLAR MAPUNDA
Picha ya Marehemu Adolar Barnabas Mapunda
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TTCL
Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam juna Machi 29, 2013.
Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa
TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam juzi Machi 29,
2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Adolar Mapunda
huko Tegeta, Dar es salaam juzi Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda,
ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania
Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiifariji familia ya marehemu Adolar
Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam juzi Machi 29, 2013. Marehemu
Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wa marehemu Adolar Mapunda
huko Tegeta, Dar es salaam juzi Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye
pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard
Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
alifariki usiku wa kuamkia jana.
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi
Mkuu mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam
juzi Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
PICHA NA IKULU
Post a Comment