Umoja wa Watanzania Ujerumani umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuanguka kwa jengo mjini Dar es Salaam.
Tunawapa pole
nyingi ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha, Umoja Wa Watanzania
Ujerumani unaungana na watanzania wote pamoja wafiwa katika maombolezi
ya msiba huu mkubwa.
Tunawaombea marehemu wote mungu awaweke mahala pema peponi AMINA



.jpg)
No comments:
Post a Comment