HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » SIFA NYINGINE ZINAUA, ULEVI NOMA!

 Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa  amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa  kuonyesha uwezo  wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi. Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo hadi sasa meneja  huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita  kiasi. (Picha na Francis Godwin)
 Mlinzi  wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu
 
 Wasamaria  wema   wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
 Hapa idadi ya walinzi  ikiendelea  kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa usiku huu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: