Washindi wakijikusanya pamoja kufurahia ushindi huo
Tarehe 28 machi 2013 ni siku iliyoleta
furaha katika macho ya wengi, hasa wale wanawake ambao wamepata tuzo
hizi, tuzo ambazo zinahusika na kutambua pamoja na kuwapa moyo wanawake
wa Tanzania ambao wana jitihada na wanafanya vizuri katika kazi zao,
hizi ni baadhi ya picha za sherehe zilizofanyika katika hoteli ya Serena, iliyoko jijini Dar es salaam.
Glory Matoi mshindi wa Tuzo za mwanamke mwenye mafanikio anaechipukia (Young achiever)
Dina Marios akichukua tuzo yake ya Women of the Year
Dr.Regina Kapinga akishukuru baada ya tuzo ya Science & Technology award
Dr.Linda Ezekiel mshindi wa kitengo cha Afya
Dr.Ruth Meena ambae alipokea tuzo katika kitengo cha Elimu
















No comments:
Post a Comment