HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UWANJA WA AZAM COMPLEX WAZINDULIWA NA RAIS KIKWETE LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Jiwe la Msingi wa Uwanja wa Azam Complex. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Rais Jakaya Kikwete akikata utepe,wakati wa uzinduzi rasmi wa uwanja wa Azam Complex.
 Rais Jakaya Kikwete akimaliza kuzindua rasmi Jiwe la Msingi wa Uwanja wa Azam Complex.
 Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono  mashabiki wa Azam waliokuja kushuhudia uzinduzi rasmi wa uwanja wa Azam Complex,baada ya kuuzindua rasmi uwanja huo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye Uwanja mwingine wa Azam ambao bado upo kwenye matengenezo


 Rais Jakaya Kikwete,akiwa kwenye chumba cha kufanyia mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex,baada ya kuuzindua rasmi.
 Rais Jakaya Kikwete,akiwa kwenye chumba cha kufanyia mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex,baada ya kuuzindua rasmi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: