HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KUMBUKUMBU YA LEO: TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA YETU MAREHEMU IBRAHIM FORD

Marehemu Ibrahim Ford 

Usiku wa kuamkia Leo nimeota ndoto nikiwa na Marehemu Baba katika Nyumba yetu ilio firisiwa na Bank. Naingia Facebook nakutana na Kumbu Kumbu ya wimbo alioimbiwa. Nina furaha Sana siku ya leo na siku zote maana wazazi Wangu wote wamenibariki na Kazi yangu. Pia Wame Ibariki!!
 Marehemu Baba alikuwa maarufu sana ila Baada ya pesa kumwishia ndugu walipungua na hata marafiki pia tukabaki wenyewe na Mama zetu wenye nyoyo za Imani tukisaidiana kumwuguza Baba. Mama wengine waliingia Mitini.Ilikuwa ni tarehe 13 November 2005 ndipo baba mzazi alitutoka maana hii siku siwezi kuisahau kwani ilikuwa ni siku ya majaribio makubwa katika maisha yangu.
Mungu yu pamoja Nasi. Tunakukumbuka sana sisi wanao Wabogojo Ford, Ebony Ford, Hidaya Ford, Laila Ford, Gerald Ford, Razack Ford Pinky Ford, Jimmy Ford, Aisha Ford,Shira Ford, Judith Ford, Shamsa Ford.
Tunajivunia Kuwa na Baba Bora!!
Ukiwa na pesa Ndugu wengi Marafiki Ndo Baraaa!!Lakini ukiishiwa lol!!
Tumeyaona Kwa Marehemu Baba yetu!!
2005 November 13 ndio alifariki Amana Hospital.


IMEANDIKWA NA WABOGOJO FORD KUTOKA CHINA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: