KESI YA LADY JAYDEE IMETAJWA TENA TAREHE JUNI13, 2013 KWENYE MAHAKAMA YA KININDONI

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Judithi Wambura , 'Jay Dee'  kushoto akiwa na mumewake ambaye pia ndiyo meneja wake Gadna G. Habashi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakisubili kuingia katika chumba cha mahakamani

Lady Jayde ametweet kwenye mtandao wa tweeter na kusema 

 "Kesi imetajwa tena tar 13 June 2013. Saa 5 asub".

"Mwenzangu nimeambiwa nirudi tar 13 June. Mawakili walikuwa wanaongea kizungu na hakimu sikuelewa ha haa haa nimejibiwa tu tarehe"

No comments

Powered by Blogger.