HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » LORI LA MAFUTA LA KAMPUNI YA LAKE OIL LAPATA AJALI MLIMA NYOKA JIJINI MBEYA LEO.


 Lori la kampuni ya Mafuta ya Lake Oil likiwa limepata ajali maeneo ya Mlima Nyoka-Mkoani Mbeya,Aidha katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa baadhi ya watu kadhaa walijeruhiwa.


 Baadhi ya Wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya Mlima Nyoka ikiwemo jirani na mji maarufu wa kibiashara,Uyole jijini Mbeya wakiwa wamejumuika kwa pamoja wakigombea mafuta yaliyokuwa yakimwagika,mara baada ya Lori la Lake Oil kupata ajali.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: