HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HII NDIO SIKU NILIOKWENDA KUOSHA NYOTA NA WADAU

 Mmiliki wa Blog ya Pamojapure akiwa kazini na hapohapo akiwa anarefresh na wadau wake wa nguvu wapamojapure.blogsport.com
 Wadau wa blog ya Pamoja Pure Luis Kalikawe (kushoto) na Lawrence (kulia) wakiwa kwenye pozi kwenye viwanja vya Coco Beach iliyoko jijini Dar es Salaam
 Lawrence (kushoto) na Luis Kalikawe (kulia)wakiwa wametokelezea kwenye viwanja vya Coco Beach
  Wadau wa blog ya Pamoja Pure Luis Kalikawe (kushoto) akiwa na Anord Kalikawe (kulia) wakiwa wametokelezea kwenye camera ya blog ya Pamoja Pure kwenye maeneo ya Coco Beach
Hapa bata zikiendelea
 Wadau wa blog ya Pamoja Pure Luis Kalikawe (kushoto)akiwa na mmiliki wa blog ya Pamoja Pure
Wadau wakiwakilisha vyema jina la Pamoja

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: