Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter
Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa
Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu
Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC @m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto.Bofya hapa chini kusoma zaidi
M23 Congo DRC
MAJIBIZANO YAO NA WAZIRI MEMBE

No comments:
Post a Comment