Pikipiki
ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa,
alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha
akaiwasha. Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia mara zote katika mishe mishe zake.
Safari ikaanza na gia ziilingizwa mama huyu ni maarufu sana Mjini Mtwara
Nilikuwa
naona vumbi tu linatimka na masihara niliyodhani anafanya kumbe ndio
alikuwa akiondoka na huo ndio usafiri wake.Picha na Father Kidevu
No comments:
Post a Comment