Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimtakia kila la heri kiongozi wa batalioni ya wanajeshi
wa JWTZ wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Umoja wa Mataifa kulinda
amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika sherehe za kuwaaga
zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani leo Mei 8, 2013.Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia. (PICHA NA IKULU)
RAIS KIKWETE AIAGA BATALIONI ITAKAYOJIUNGA NA MAJESHI YA UMOJA WA MATAIFA YA KULINDA AMANI DRC LEO
Tag:



No comments:
Post a Comment