SIKILIZA HAPA MJADALA WA BUNGE WA JANA ASUBUHI ULIOSABABISHA WABUNGE WOTE KUSIMAMA NA KUTAKA KUSHAMBULIANA NA KUTUKANANA LIVE

Mbunge wa Nyamagana(Chadema), ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ezekia Wenje, akitolewa nje ya Ukumbi wa Bunge na askari wa Bunge huku akionyesha alama ya ‘V’, baada ya wabunge wa CUF kutaka kumpiga, kutokana na hotuba yake waliyodai kuwaudhi wabunge hao. Picha na Emmanuel Herman. 

Za moto moto jana kutoka kwenye Bunge La Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, sintofahamu ilitokea ndani ya bunge baina ya wabunge wa Cuf na Chadema, hali iliyopeleka wabunge wa vyama hivyo kutaka kupigana ndani ya Bunge.Sikiliza ilivyokuwa hapa

No comments

Powered by Blogger.