![]() |
| Wasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitalini |
![]() |
| Damu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada ya kupasuka vibaya |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitali |
![]() |
| Hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya |
![]() |
| Umati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hii |
![]() | ||||
| Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali |
PICHA ZOTE NA KRANTZ MWANTEPELE










No comments:
Post a Comment