HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » ULINZI WAIMARISHWA KWENYE HUKUMU YA SHEIKH PONDA LEO

Hukumu ya  Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda  inatarajiwa kutolewa leo katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam ampapo ulinzi mkali umeimarishwa.(Picha na Audiface Jackson)
Ulinzi iliimarishwa katika kila kona ya Mahakama ya Kisutu na huyu ni mfuasi aliyekuwa anataka kuleta vurugu mahakani hapo
Askari wakiwa katika barabara ya Bibi Titi 
Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Mwanamke akizungumza na maasikari waliokuwa wanalinda mahakamani leo
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda 
Ulinzi Mkali
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: