WATOTO WATANO(5) WALIOKUWA WAMEZALIWA NA MWALIMU SOFIA MGAYA BAADA YA KUKAA SIKU MBILI WOTE WAFARIKI DUNIA

 
 Mwalimu wa Shule ya Sekondari Luwawasi iliyopo Manispaa ya Songea, Sophia Mgaya (28) alijifungua kwa njia ya upasuaji watoto watano juzi asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya Songea ambapo watatu kati yao ni wa kiume na wawili wa kike.
(Picha na Songea Habari (http://songeahabari.blogspot.com/))

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, mwenyezi mungu amewapenda zaidi watoto hawa watoto wote wamefariki. Ndugu watanzania tumusaidie mama huyu Sofia Mgaya mungu ampe afya njema

Kama unataka kusoma habari kabla ya watoto hawa hawajafariki bofya hapa
 

No comments

Powered by Blogger.