YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA NYIMBO ZA MAKABILA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB HAPO JANA

 Waongozaji wa Tamasha hilo, Suzzy Bartazar (kushoto) akiwa na Mbwiga Mbwiguke , wakitoa updates kwa wananchi waliokuwa wakiangalia Clouds TV wakati wa kusherehesha Tamasha hilo la Nyimbo za Makabila.
Kikundi cha Kitamaduni kikitoa burudani
Sehemu ya watazamaji waliojitokeza kushuhudia Tamasha hilo.
 Burudani ikiendelea

 Hata watu wa magic nao walikuwepo kuonesha huasili wao


 Mc Mbwiga Mbwiguke akiwa kazini
Msanii kutoka Bukaba, Maua akitoa burudani kwenye Tamasha la Nyimbo za Makabila




No comments

Powered by Blogger.