HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HII NDIO HALI HALISI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KWENYE UJIO WA OBAMA

 Picha ya Rais wa Marekani, Barrack Obama ikiwa imepambwa sambamba na bendera ya taifa hilo na ya Tanzania kwenye Mtaa wa Ohio katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo. Obama anawasili nchini kesho kwa ziara ya siku mbili.
 Mtaa wa Ohio ukipendeza kwa usafi. Ohio ni moja ya majimbo ya Martekani.

Endelea kutizama maeneo mengine kwa kubofya hapa chini 




 Hali  ilivyo kwa  sasa  eneo la Posta  mpya  jijini Dar es Salaam baada ya wafanyabiashara  ndogo ndogo machinga  na  wauza magazeti na vocha  eneo  hilo  kuondolewa na mgambo  wa  jiji katika zoezi la kusafisha jiji kwa ajili ya ugeni  huo mkubwa nchini

 Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakiwa katika pilikapilika  za kufanya usafi jana katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakifanya usafi leo katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.
 
PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: