HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HIVI NDIVYO BARACK OBAMA ALIVYOAGWA LEO SENEGAL

 Rais wa Marekani, Barack Obama akipata maelezo kutoka kwa wakulima waliokuwa wanamwonesha vyakula vya kitamaduni kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal leo Ijumaa June 28, 2013

 Rais wa Marekani, Barack Obama akioneshwa mpunga kutoka kwa wakulima waliokuwa wanamwonesha vyakula vya kitamaduni kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal leo Ijumaa June 28, 2013 
 Rais wa Marekani, Barack Obama akishika mpunga ulioshikwa na mkulima kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal leo Ijumaa June 28, 2013 

Endelea kutizama tukio lote kwa kubofya hapa chini

 Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais wa Senegal, Macky Sall wakifika kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal,  leo Ijumaa June 28, 2013
 Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais wa Senegal, Macky Sall wakifika kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal,  leo Ijumaa June 28, 2013
Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais wa Senegal, Macky Sall wasikiliza bendi ya jeshi kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal,  leo Ijumaa June 28, 2013

 Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais wa Senegal, Macky Sall wakiangalia gwaride  kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal,  leo Ijumaa June 28, 2013
 Rais wa Marekani, Barack Obama akisindikizwa na mwenyeji wake Rais wa Senegal, Macky Sall ili kupanda ndege kuelekea Afrika ya Kusini  kwenye uwanja wa ndege wa Dakar, Senegal,  leo Ijumaa June 28, 2013

 First lady wa Marekani, Michelle Obama(kushoto) akisindikizwa na First Lady wa Senegal, Mariame Faye Sall (kulia)  ili kupanda ndege    

 Rais wa Marekani, Barack Obama na  First lady Michelle Obama wakiwaaga kwa kuwapungia mikono leo kwenye uwanja wa Dakar, June 28, 2013

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: