HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUWAJI KWA KUTUMIA USHIRIKINA.

 Mtuhumiwa akiwa ndani ya  chumba cha mganga na mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa mauwaji 
 Mtuhumiwa akiwa anahojiwa na mzee wa ukoo wa Shirima Afisa polisi jeshi daraja la Kwanza (Woii mstaafu) Joseph Shirima mara baada ya kumkamata live kwa Sangoma

Endelea kutizama picha na kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini

 Akiendelea kuhojiwa
 Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa


Mama mmoja ajulilikanae kwa jina la Magreth simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akijaribu kutekeleza jaribio la kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewe na baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani. Mtuhumiwa ni mfanyakazi wa shirika la Nyumbu kibaha mkoani pwani.



Aidha habari za kuaminika ni kuwa wakuu wa kikosi cha nyumbu walijaribu kwa njia mbalimbali kumchomoa mtuhumiwa ila ikashindikana na sasa anasubiri kitanzi cha sheria

PICHA NA MAWERE KITANGE

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: