MKUU WA MKOA WA MWANZA, MHE.ENG.EVARIST NDIKILO AFANYA UZINDUZI WA USAFI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA JIJINI MWANZA LEO ASUBUHI

 Viongozi wa mkoa wakijadiliana jambo baada ya mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.Eng. Evarist Ndikilo kuzindua mpango kabambe wa usafi na uhifadhi wa mazingira mkoani Mwanza leo asubuhi
 Wananchi wakipewa utaratibu jinsi watakavyokuwa wanafanya usafi kila jumamosi ya kwanza ya kila mwezi
 Baadhi ya wananchi waliofika kwenye uzinduzi kabambe wa usafi wa mazingira Jijini  Mwanza
 Baada ya uzinduzi kufanyika wananchi walijichanganya kwenye mitaa ili kusafisha jiji la Mwanza ambalo litakuwa linasafishwa kila jumamosi ya kwanza ya mwezi

 Kazi ya usafi ikiendelea

 Usafi wa Jiji la Mwanza ukiendelea baada ya kuzinduliwa na mkuu wa mkoa wa mwanza leo asubuhi
 
 Baadhi ya wananchi walioingia mtaani na kufanya usafi wa jiji la Mwanza
 Ulinzi ulinzi ulikuwepo ili kufanyika kwa kazi vizuri
 Hali ya jiji la Mwanza likivutia baad ya usafi kufanyika leo asubuhi
 Huu ndio mwonekano wa baadhi ya barabara za jijini Mwanza leo asubuhi baada ya kufanyiwa usafi


PICHA NA GUTRAM SANGA WA PAMOJAPURE BLOG

No comments

Powered by Blogger.