PICHA YA LEO:MTIZAME NA MSIKILIZE ALICHOKISEMA M TO THE P AKIWA HOSPITALINI

Hii ndio picha ya Msanii rafiki wa Marehemu Ngwea, M2THEP akiwa hospitali hapa Johannesburg South Africa jana May 31 2013, yuko hai na anapumua bila mashine ila kifua kidogo ndio kinamsumbua.unaweza kushea hii post ili kusaidia kufuta zile taarifa zilizozushwa kwamba alifariki mtu wangu. 
Sikiliza Sauti yake hapa chini akiongea na Millid Ayo



HABARI NA PICHA NI KWA HISANI YA MILLAD AYO

No comments

Powered by Blogger.