Pedro akiifungia Spain goli la kwanza kwenye dakika ya 20 ambapo spaini iliibuka kwa ushindi wa magori 2 kwa 1
Soldado akiifungia Spain goli la pili kwenye dakika ya 32 ambapo spaini iliibuka kwa ushindi wa magori 2 kwa 1
Suarez akifunga goli la kufutia machozi kwenye dakika ya 88 ya mchezo
Wachezaji wa Spain wakishangilia goli
No comments:
Post a Comment