HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA AMEFARIKI DUNIA HAPO JANA

Leo(ambayo ni siku ya jana) ni siku nyingine ya Historia kwenye maisha yangu baada ya baba yangu Michael Francis Iwambo Kiria wa Kibosho dakau nganyeni kufariki huko mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Kesho(ambayo ni siku ya leo) ni safari ya kuelekea moshi kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Uongozi wa mtandao wa PAMOJAPURE/PAMOJA unatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Kiria

Source: Talk Show

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: