MAMA MZAZI WA PROFESSA JAY AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Ilikuwa majira ya saa 1 usiku ndipo tulipopata habari ya ajali ya mama maeneo ya Mbezi mwisho akitokea nyumbani kwa Prof Jay anapoishi nae akielekea dukani. Wakati anarudi nyumbani akivuka barabara ndipo ajali hiyo ikampata na kuhaishwa hospitali ya Tumbi hadi mauti kumkuta. Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi Amen.

Uongozi wa mtandao wa PAMOJAPURE/PAMOJA unatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Prof. Jay

SOURCE: Dj Choka

No comments

Powered by Blogger.