BREAKING NEWZZZZZZ: JESHI LAMUONDOA MADARAKANI RAIS WA MISRI By: VIJIMAMBO on July 03, 2013 / comment : 0 General Abdul Fattah Al-Sisi akiutubia taifa Jeshi la Misri limemwondoa Rais Mohammed Morsi kwenye madaraka baada ya wananchi kuandamana na kushinikiza atoke madarakani kwani hatatui matatizo ya wananchi waliomchagua. Kwa Taarifa zaidi bifya hapa BBC NEWS Tag: Share ! Facebook Twitter Pinterest Linkedin Whatsapp Whatsapp
No comments:
Post a Comment