HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HIZI NI PICHA ZA WAMISRI WALIVYOJITOKEZA KWENYE MITAA ILI KUSHANGILIA MAPINDUZI YALIYOFANYIKA SIKU YA JUMATANO


 
Baada ya tangazo la jeshi sherehe zililipuka kote nchini humo huku wapinzani wengi wa Morsi wakiona hatua ya jeshi kama ushindi wao
 
Watoto, akina mama , wazee , wote wajitoa katika barabara za nchi kusherehekea
 
Wanajeshi nao walikuwa kote kushika doria mjini Cairo, angani na ardhini licha ya taarifa kusema kuwa baadhi ya watu walijeruhiwa 

Endelea kutizama tukio hapa kwa kubofya hapa chini

 
Kabla ya taarifa ya jeshi ya kumwondoa mamlakani Morsi, pande pinzani zilikuwa zimefanya maandamano kumuunga na kumpinga mkono Morsi 
Fataki ishara ya sherehe zilizofanyika usiku kucha mjini Cairo
 
 Vijana ambao ndio wengi waliokuwa wanalalamika kuwa Morsi alikuwa anakumbatia sheria kali za kiisilamu
 
 Wengi pia walimtuhumu kwa kuhujumu faida za mapinduzi ya kiraia yaliyofanyika kumwondoa mamlakani rais Hosni Mubarak


BBC SWAHILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: