HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA YA LEO: HIVI TUNAVYOKARABATI BARABARA PALE TU VIONGOZI WAKUBWA WANAPOTAKA KUJA JE WANANCHI TUNAWATENDEA HAKI?

Ukarabati wa barabara ya Ipelele - Bulongwa wilayani Makete unaendelea kwa kasi kama unavyoona hali inayohusishwa na ujio wa waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda ambaye anatarajiwa kuja Makete Julai 8 mwaka huu, na anatarajiwa kupita kwenye barabara hii. Pia barabara hii ambayo inategemewa ni kiunganishi kizuri cha wilaya ya Makete na mkoa jirani wa Mbeya (Picha na Edwin Moshi, Makete)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: