AWALI ya
yote tunapenda kuwapongeza
wadau mbali mbali ambao
wameendelea tukuunga mkono kwa
kujitangaza kupitia kampuni yetu ya Free
community Media’s wamiliki wa blogu ya www.francisgodwin.blogspot.com
,www.matukiodaima.com na www.Iringa na
maendeleo yetu .blogspot.com ,nasema
ahsanteni kwa kutuunga mkono .
Pamoja na shukrani hizo kwa wadau wetu wakiwemo wasomaji
pia ila tunapenda kutoa onyo kali
kwa wamiliki wa mitandao ya kijami zikiwemo Blogu ambao wamekuwa
wakiiba kazi zetu na kuzitumia
bila kuingia makubaliano yeyote nasi
.
Ifahamike kuwa kutumia habari zetu katika blogu
ama mtandao wako au gazeti lako
bila ya makubaliano yetu ni sawa
na wizi na huna tofauti na mwizi hivyo
basi kutokana na vitendo vya wizi wa kazi zetu kuendelea kuongezeka Tumelazimika kumpa
rungu mwanasheria wetu ili kuchukua hatua
kwa wale wote watakaobainika
kuiba kazi zetu na kuzitumia bila
makubaliano yetu.
Tumevumilia tumechoka sasa hatuaacha kuchukua hatua kali ili iwe fundisho kwa wenye tabia ya kuiba kazi zetu na kuzitumia bila ridhaa yetu .
Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
Ushauri wangu ni vema kila mmoja wetu kutambua mchango wa mwingine kwa kila anachokifanya kwani uendeshaji wa mitandao hii ni kama chombo kingine cha habari lazima kutafuta habari kwa gharama na kulipa wafanyakazi na mahitaji mengine yote sasa kama wewe huchangii chochote katika uendeshaji wetu huna sababu ya kutumia habari zetu bure vinginevyo kwa kila habari utakayoitumia hapa utailipia ama tutachukua hatua dhidi yako.
Kwa upande wa radio ambazo zinaweza kutumia habari zangu kwa Tanzania ni pamoja na Radio Clouds
Fm, Radio Uhuru Fm, Radio Mlimani Fm ,Radio
Ebony Fm, Radio Furaha Fm, Radio Ovarcomers Fm, Radio Best Fm ( Ludewa)
na Radio V.O.A
Kwa upande wa magazeti ni magazeti
ya Uwazi , Amani, IJumaa, Risasi na
yote ambayo yanayohusika na kampuni
husika ,Gazeti la Mwananchi na gazeti la Daraja Letu .
Wakati
upande wa mitandao ya jami inayoweza
kutumia kazi zetu kwa makubaliano ni , Issma Michuzi, Mjengwa,
Fullshangwe, Watemi SHAFFIH DAUDA na
Milad Ayo wa Clouds , MATUKIO UK , BBC
SWAHILI , VOA Swahili, MAFANIKIO
NA MAISHA , DIAMOND PLATINUMZ , GLOBAL
PUBLISHERS , DAILY NKOROMO BLOG , CCM
BLOG ,Chadema Blog , BONGO LEAKS , MATERUNI ,sundayshomari, ASKOFU BOAZ SOLLO ,kamanda wa matukio ,mohammeddewji,Mbeya yetu ,jamiiforums.com na
shwari.com zaidi ya hapo tutaonana wabaya nimechoka kuibiwa kazi zangu .
Pia
napenda
kutoa onyo kwa badhi ya waandishi ambao wamekuwa
wakitapeli wadau kwa kujitambulisha kuwa wanafanya kazi na kampuni ya
Free Community Media’s kupitia matukiodaima ama francisgodwinblog
Wafuatao ni wawakilishi wetu Estha Macha
( Mbeya) , Elizabeth Ntambala ( Rukwa na Katavi),Juma Nyumayo ( Ruvuma),
Tuma Sitta (Mwanza), Carlos Mtoye ( Dar es Salaam),Gustav Chahe , E. Materu ,
Kayanda MC , Mlalahoi Alwatan,Lukelo Mkami , (Iringa) japo wengine kwa Iringa utawatambua wiki ijayo Abdulaziz Video ( Lindi) Ally Suleiman (
Zanzibar) Anna John ( Arusha) Frank Ndelwa ( Dodoma) Bazil Makungu ( Njombe)
mikoa mingine bado tunatafuta waandishi wawakilishi
Imetolewa na Francis Godwin Blog -mzee wa Matukio daima
Imetolewa na Francis Godwin Blog -mzee wa Matukio daima
0754 026 299,0789 28
1030
Barua pepe
.francisgodwin2004@yahoo.com



No comments:
Post a Comment