HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATU 22 WAFARIKI NA WATU ZAIDI YA 200 WASANASADIKIKA KUJERUHIWA KWENYE TETEMEKO LA ARIDHI HUKO INDONESIA

Baadhi ya wananchi waishio kwenye kijiji cha Lampahan wakiwa nje ya nyumba zao baada ya kutokea kwa tetemeko hapo jana July 02, 2013
Wasamalia wakiwaokoa watu waliojeruhiwa kwenye tetemeko lililotokea na kuwapelekwa kwenye hospitali ya kijiji cha Lampahan katika mji wa Aceh jana huko Indonesia
Wakina mama wakilia huku wakiwa wamewabeba watoto wao baada ya kumalizika kwa tetemeko

Endelea kutizama tukio ili kwa kubofya hapa chini

Huyu akitoka kwenye kituo hicho baada ya kupewa matibabu hapo jana baada ya tetemeko ambalo linasadikiwa kuwa na uzito wa 6.1
Wanchi walijeruhiwa wakiwa kwenye kituo cha afyya kiitwacho Berner Mariah iliyoko kwenye kijiji cha Lampahan ili kupata hudua ya kwanza
Huduma ikiendelea kwenye kituo hicho
Sehemu nyingine ardhi ilimeguka "landslide" na kusababisha maafa kwa wananchi waliokuwa wanaishi kwenye maeneo hayo

Kwa habari zaidi bofya hapa BBC NEWS

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: